Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16] Bro bana....halafu leo sijakusalimia kumbe.....Shikamoo Kaka ake mpendwa
Umejishtukia eeeh?

Apewe shikamoo mwingine kweli mi nikose? No wei wallahi.

Marahaba sis. Natumaini kuwa Jumapili yako inaendelea vyema. You made my day. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ukiondoka tutajaza na chumvi na pilipili za kutosha
Sawa tu. Na nikija wala sihangaiki kufukua makaburi. Mtakuwa mmejisema wenyewe tu...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ila lazima nifuatilie nione mtanange. Ishu za kukaa kimya eti ukikaa kimya ndiyo sijui una busara zikafie mbali huko [emoji16][emoji16][emoji16]
 
IMG_1879.JPG
 
I can’t believe hata wewe Binti Mpole ni wa uswazi
Anajifanyaga...

Kuna siku tulikuwa tunajadili humu maharage mabovu ya sekondari alikosea akasema kuwa yeye hajawahi kusoma shule za boarding wala za serikali. Nilipojaribu kuulizia alisoma wapi akapotezea. Likely kasoma International Schools huko Kenya au Uganda na BSC kapiga Cambridge.

Siyo mwenzetu huyu bro...
 
Back
Top Bottom