Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anajifanyaga...

Kuna siku tulikuwa tunajadili humu maharage mabovu ya sekondari alikosea akasema kuwa yeye hajawahi kusoma shule za boarding wala za serikali. Nilipojaribu kuulizia alisoma wapi akapotezea. Likely kasoma International Schools huko Kenya au Uganda na BSC kapiga Cambridge.

Siyo mwenzetu huyu bro...
Weuwee kizungu chenyewe humu napiga cha kajamba nani ,hizi keyboards zinadanganya bro usiamini ooohoooo
 
Shimba ya buyenzeeeeee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
6db60f84313a5ed3d259d90c562fce0b.jpeg
 
Back
Top Bottom