myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
19:09
Mtanange huu ukihamia hapa hapatakalika. 'Em jus sayin' [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]View attachment 1083477Culture gal anawapa za mbavu kule naona mnamkimbia hata ku quote hamtaki wewe na Warumi [emoji12][emoji12][emoji12]
Unataka kadi ya CHAWAMITA?[emoji16]
Muone!Shikamoo Kaka ake
Haiwezekani mkuuMtanange huu ukihamia hapa hapatakalika. 'Em jus sayin' [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Sina Msabwax mie ..Muone!
Nina mpango wa kukunyandua halafu unanipa shikamoo na ubro juu? Thubutuuu !!! [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Tutaimprovaisi...Sina Msabwax mie ..
utachapa nini?
Vipi bro? Mnapigwa ama?Degea anazingua sana siku hizi
Itisha mkutano wa bodi tukutoe...Kwa mamlaka niliyopewa na katiba ya CHACHAWA, mimi kama Mwenyekiti natangaza rasmi nafasi ya Katibu Mkuu iko wazi kuanzia sasa. Maombi yanapokelewa, kwa wale wenye sifa mnakaribishwa!
Safi ndio inaishia hivyo fastaTutaimprovaisi...
Jumapili inasemaje?
🤣🤣🤣 Yego ShikamooKwa mamlaka niliyopewa na katiba ya CHACHAWA, mimi kama Mwenyekiti natangaza rasmi nafasi ya Katibu Mkuu iko wazi kuanzia sasa. Maombi yanapokelewa, kwa wale wenye sifa mnakaribishwa!
Mmmh..maendeleo hayana chama..Unataka kadi ya CHAWAMITA?
Hata awe nani. Hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa. Inasaidia kuleta nidhamu..Nimemkumbuka jose mchezaji akichoma mechi hii ijayo hachezi
🤣🤣🤣 Yego Shikamoo
Naona nafasi ipo Vacanti.. Maombi niyalete mwenyewe au niyatume posta?Marhabaa, hujambo? Tuna nafasi ya Katibu Muhtasi kwenye kile chama chetu. Unakaribishwa kutuma maombi! [emoji23][emoji23]
Vipi bro? Mnapigwa ama?