Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
🤣🤣🤣 Sawa Mheshimiwa sana..
Nayatuma sasa hivi
Unakaribishwa sana!![emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 Sawa Mheshimiwa sana..
Nayatuma sasa hivi
😁😁😁Na mimi nitumie Mkuu!
😂😂😂😂😂😂 Naona sasa hv kishatengeneza juice ya yale mayai maana sio kwa kuyaminya hukoMzee wa liver kayanyonyonfoa kabisa mpmb hahaha
Hatariii sana Technology...Zari ana video yake alijirecord ya uchi 😂😂😂
HahahAngalau wewe siyo mgumu, hata ukizinduliwa huwa unapokea uzinduzi kiroho safi.
Lakini jamaa hapo daaa ni shida[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro,,ila sijifikia hatua uliyofikia ile ya kusikiliza U Complete Me ya Sisqo au Craig David Unbelievable
Hahah! tatizo hao aliowazaa hakuna ata mmoja mwenye muelekeo wa kuwa mcheza mpira labda akazane tu mpaka ampate wa kufata nyayoHuyu avizae kama 10 hivi..talent isambae
Kwakuwa kila kitu tumeweka kwenye siasa tunalazimika kuweka imani zetu kwa baadhi ya watu hawa.Hatari sitakaa kuwaamini wanasiasa hasa wa Afrika
Ukipotea kidogo ukarudi unajikuta na madeni kibaoSpeed ya huu uzi ni ya Supersonic! Ni hatari!
Kulikuwa kumechangamka sana. Asante kwa roho hiyo njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Aisee.. vidole vinauma kulaiki .. kasi leo ni ya 4G hii ilikuwa
Leo noma sana mwenyewe nahisi kizidiwaAisee.. vidole vinauma kulaiki .. kasi leo ni ya 4G hii ilikuwa
Uwa namuelewesha kidogo kidogo ataelewa tu sipendi kumkwaza nitakosa unyumba
HahahaMods please tunaomba kitufe cha Auto like
Sijui watu leo wamekunywa uji wa wapiSpeed ya huu uzi ni ya Supersonic! Ni hatari!
Mimi nadhani nimekwenda sambamba na kila mtu leo...burudani tosha !!!Leo noma sana mwenyewe nahisi kizidiwa
Hahahahaha, hawashikiki.Hahahahahhaah chezea asili ya bwana jiwe hawana maana kabisa