mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Binadamu ndivyo walivyoNa huyo ni mwizi mkubwa wa furaha ya wengi. Halafu tukitaka kujilinganisha, mfano, na classmates hatuangalii wengi ambao tayari wameshatangulia mbele ya haki na kuona jinsi tulivyobarikiwa kwa kubaki hai. Tunakazana kuangalia hawa wachache waliotuzidi vyeo, elimu, pesa, umaarufu na mengineyo. Binadamu tuko wa ajabu sana !!!