mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha pole sanaHapa tunataniana tu kama kawaida yetu kamanda...
Kuna jamaa alikurupuka huko akanitaja kama kilinganishio cha mhusika (Msukuma) wa US Baby...[emoji16][emoji16][emoji16]
Basi Davet ndiyo akaamua kunisurubu. Nimeteseka sana !!!