mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu umemwona gunners[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu umemwona gunners[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu nakupa hi
Nimepitia huo Uzi code zinagoma kwakoThenki yuuuu.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mkuu hawa jamaa bado wapo kwenye game
Anfield ni fortress watakaa tuNakisikia mtu anawataja Wolves,,natetemeka kwa hofu,,vijana sio wa kuchezea hawa,,shughuli yao tunaifahamu vyema
Umenikumbusha mbali sana
Tayari kamanda. Watoto wa kishua hawa kuna mengi hawayajui... [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1083353
View attachment 1083354
Mkuu hawa jamaa bado wapo kwenye game
Hapa tunataniana tu kama kawaida yetu kamanda...Nimepitia huo Uzi code zinagoma kwako
Lionel Messi ni staa wa soka wa kimataifa wa Argentina ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya FC Barcelona ya Hispania aliyojiunga nayo mwaka 2001 na mwaka 2003 akaanza kuichezea FC Barcelona C. Lionel Messi anatajwa kuwa ni moja kati ya wachezaji soka wenye rekodi za kusisimua zaidi duniani. Hizi ni rekodi 5 za kusisimua za Lionel Messi stori kutoka sokkaa.com
Hahah basi Liver anamuombea mabaya City wakati yeye bado ana hawa jamaaNakisikia mtu anawataja Wolves,,natetemeka kwa hofu,,vijana sio wa kuchezea hawa,,shughuli yao tunaifahamu vyema