BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mwache aende zake Mkuu. Beautiful and very smart girl.
Rihanna ,,,fundi chelehani huyu matata kweli kweli
Rihanna ,,,fundi chelehani huyu matata kweli kweli
Rock n Roll
Mkuu nakupa hiJimmie vady
Wolves hatari sanaHahah walinipiga mzunguko wa kwanza hivyo hawawezi tena kurudia, alafu usisahau na wewe una Wolves
😁😁😁😁Dave usiache kitu ongezea na kabobo za kutosha
Nakisikia mtu anawataja Wolves,,natetemeka kwa hofu,,vijana sio wa kuchezea hawa,,shughuli yao tunaifahamu vyemaHahah walinipiga mzunguko wa kwanza hivyo hawawezi tena kurudia, alafu usisahau na wewe una Wolves
Amefanya mengi kweli apumzike tu kwa amani (sio Rip)Umri tatizo astaafu tu soka mazima
Kwema bro??Oh oh oh
Bro niko chini ya miguu yako. Acha hiyo kashfa ife nachurale. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji109][emoji109][emoji109][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sikumbuki kitu bro 😁Mzozo huu ulishafungwa bro. Nitawashangaa mkiufufua. Davet mwenyewe sidhani kama anakumbuka anything [emoji16][emoji16][emoji16]
Pande za makao makuu ya nchi bomba kabisa hali ya inaushawishi mkubwa kwa mambo ya sita sita full kipupwe hukuHuku kwema sijui pande hizo
Thenki yuuu fromu ze botomu ofu mai hati [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sikumbuki kitu bro [emoji16]
Anajifanyaga...
Kuna siku tulikuwa tunajadili humu maharage mabovu ya sekondari alikosea akasema kuwa yeye hajawahi kusoma shule za boarding wala za serikali. Nilipojaribu kuulizia alisoma wapi akapotezea. Likely kasoma International Schools huko Kenya au Uganda na BSC kapiga Cambridge.
Siyo mwenzetu huyu bro...