Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bangi mbaya Sana hasa ukivuta na njaa utawehuka
 
Ila umeandika in a very funny way! Lakini ni mambo fikirishi sana..
 
Kwa kuongezea..2100 POWERFUL NEWS..Mtabiri Nguli wa Tanzania Masweeter, asheherekea miaka hamsini ya kuishi, na hii ni baada ya kutumia dawa za kurudisha ujana ikiwa ni kwa mara ya tano sasa.
 
Lakini si ulifaudu kuona ule mguu ulioshiba Kamanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mguu hauonekani. Yupo anajaribu kujitandika mdori. Mauzauza tupu hakuna jipya kamanda. Nimepoteza MB zangu bure tu. Hizi siwezi kushtaki mahali Tigo wakanirudishia hizi MB zilizopotea bure?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…