myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wagonjwa poleni sana...
Mungu awaponye
Mungu awaponye
safiii
iko sawa....
Mh!!Sana kila mtu anajidaisha anamchukia zari
Nimeandika ili nipate likeWalikuuliza hilo swali?
Unampa poti shikamoo huyu ni andaeitini bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yego Shikamoo
Bila aibu unaitikia poti potiMarhabaa, hujambo? Tuna nafasi ya Katibu Muhtasi kwenye kile chama chetu. Unakaribishwa kutuma maombi! [emoji23][emoji23]
Mkuu naona futuhi inakuhusuWamesawazisha Chelsea makosa ya goli kipa
HahahahaMwenyekiti haondolewi kimchezo mchezo. Yuko ngagari, Mbowe cha mtoto! [emoji1][emoji1]
Hiyo hashtag nimeipenda hatariUna maoni gani bro. Nakumbuka hata wewe zengwe alilokuwekea kurudi kwenye hiki chama. Lazima tumtoe bro. Hatutaki udikteta kabisa.
#PotiMastiGo [emoji818][emoji818][emoji818]
Tumia box ya Nansio mkuuKutokana na kanuni na miiko ya UGUMU, inabidi uyatume kwa Posta! [emoji1][emoji1]