Akishazinduliwa anakodiwa Chumba kwenye Hotel ya nyota 5 huko kanda ya Ziwa, kufurahia uzinduzi kwa minofu ya Sangara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kocha wa Real Madrid Zinadine Zidane anasema Gareth Bale na mchezaji nyota wa Chelsea Eden Hazard ambaye amehusishwa na tetesi za kuhamia uwanja wa Bernabeu,watashirikiana vizuri wakiwa katika timu moja.( Marca)
Wagumu wengi ni wazee wa kupanda Mnazi kwa mkono mmoja sasa kama chama chenu hakina member wa CHAPUTA basi mtakua ni mamluki tuHakuna mwanachama wa CHAPUTA kwenye Chama Cha Wagumu, Wagumu ni Wagumu wa kila eneo.
Kama kuna mwanachama wa CHAPUTA mtaje
Temptedi, noti dhati fasti! Mwenyekiti unatakiwa uyatawale mazingira, ujue kinachoendelea within your surrounding bila kukompromaizi your principles! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna wakukung'oa[emoji16]Nitapambana mpaka dakika ya mwisho kuhakikisha kwamba CHACHAWA haiangukii kwenye mikono ya WALAINI! [emoji123]
Mi ndiye mwenye sifa za kuwa Katibu Mkuu wa CHACHAWA.Binti Mpole wewe unakubali Moud apewe ukatibu kweli [emoji23][emoji23]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ee moud mtu poa sana
Hahahahaha [emoji16][emoji16]Insta ni shidaView attachment 1083573
Safi[emoji120][emoji120]Eee anavyo vingi tu
#potiawacheamani
Kwani una ugomvi na Khantwe?Numbisa mbona mbea hiviii [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Khantwe anafikaje kwenye huu uzi kwa mfano jamaniii mim ugomvi siwezi mwenzenu
Mkuu Kwani una ugomvi na huyo dada mbona anaonyesha kukuogopa?[emoji23][emoji23] mwambie, mie mwenyeji sana tu