[emoji16][emoji16][emoji16] nipo salama bro!!Kama unaenda kuburuza semi trela basi usisahau kuleta mrejesho kesho. Utakuwa umechoka vibaya sana. Usikubali likulalie yasije yakawa mengine [emoji16][emoji16][emoji16]
All the best ninge. Kipindi hiki harusi huwa nyingiiiii[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1083823
[emoji16][emoji16][emoji16]acha tu,halafu baada ya hapo harusi zote zile zinavunjikaAll the best ninge. Kipindi hiki harusi huwa nyingiiiii
Hahahaa jamani[emoji16][emoji16][emoji16]acha tu,halafu baada ya hapo harusi zote zile zinavunjika
Harusi za kupikiana futari zile
Na Cole Williams [emoji23][emoji23]
Hahah ni chache zinazodumuHahahaa jamani
[emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa nmemsahauNa Cole Williams [emoji23][emoji23]
Nimeamka poa sana. Ngoja nikachokoze uzi wa madrid kwa haka ka gif ka ronaldo hahahaHahah ni chache zinazodumu
Mambo vipi lakini Numbisa?umeamka poa wewe??
Good morning to you.Morning
Hahaha unaenda kuanzisha ligi eeh??madrid wamevurugwa wana hasiraNimeamka poa sana. Ngoja nikachokoze uzi wa madrid kwa haka ka gif ka ronaldo hahaha
Hahaha wakome walimuibia ronaldo baloon yake kha yuko wapi modric wao pheeeeaHahaha unaenda kuanzisha ligi eeh??madrid wamevurugwa wana hasira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha wakome walimuibia ronaldo baloon yake kha yuko wapi modric wao pheeeea
Hahahhaahhaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aya bhana unachokitafuta kule ukipata tena msimu huu hawana kikombe chochote
Ameen ubarikiwe mpendwa