Eee anavyo vingi tu
#potiawacheamani
Mwanamitindo wa kiume wa miaka 26 amefariki alipokua akifanya onyesho la mavazi katika tamasha la mitindo la São Paulo.
Tales Soares aliripotiwa kuanguka baada ya kutegwa na kamba za viatu alivyokuwa amevalia.
Waliyohudhuria tamasha hilo awali walifikiria kuanguka kwake kulikua sehemu onyesho lake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji15][emoji15][emoji15]We culture gal ni mwanamke,najua ni dume
Numbisa mbona mbea hiviii 🙄🙄🙄🙄Khantwe anafikaje kwenye huu uzi kwa mfano jamaniii mim ugomvi siwezi mwenzenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khantwe huwa anakuja huku ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa mbona mbea hiviii 🙄🙄🙄🙄Khantwe anafikaje kwenye huu uzi kwa mfano jamaniii mim ugomvi siwezi mwenzenu
[emoji23][emoji23] mimi hapa mbona mwenyeji huwa napenda kusoma habari za huku ila sipendi kukomenti maana sihitaji utitiri wa likesNumbisa mbona mbea hiviii [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Khantwe anafikaje kwenye huu uzi kwa mfano jamaniii mim ugomvi siwezi mwenzenu
[emoji23][emoji23] mwambie, mie mwenyeji sana tuKhantwe huwa anakuja huku ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani comments zote aione yangu haiwezekani. Muhusika akija mim sipo 😀😀😀😀😀Khantwe huwa anakuja huku ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi mama yaishie hapa usimuite culture gal Sawa mpenz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23] mimi hapa mbona mwenyeji huwa napenda kusoma habari za huku ila sipendi kukomenti maana sihitaji utitiri wa likes