Kabisaa ,azoee tu ujio wako humu[emoji23][emoji23] mwambie, mie mwenyeji sana tu
Ndio waenda kulala hivyo bibie?Goodnight woteView attachment 1083587
Baki hapa uni company basi ..Ndio waenda kulala hivyo bibie?
Salama salimini, wkend imeisha io!Kwema Mkuu namshukuru Mwenyezi Mungu. Wewe vipi Mkuu?
Mimi nipo hapa hata siendi kokoteBaki hapa uni company basi ..
Nmegundua unatufaa sana hapa, naona Numbisa kapata Partner!Nimefika mkuu
Unasema hutaki utiri wa Likes, naomba nikupe Dislike kwa kila post ukiwa hapa. Is that Okay?Mimi nipo hapa hata siendi kokote
Hata hiyo huna haja ya kunipaUnasema hutaki utiri wa Likes, naomba nikupe Dislike kwa kila post ukiwa hapa. Is that Okay?
Mara paaaah Numbisa na Hawachi ni mtu mmojaNmegundua unatufaa sana hapa, naona Numbisa kapata Partner!
Me nataka nikuwekee ili ujue kwanini uzi huu uliitwa wa likes.Hata hiyo huna haja ya kunipa
Haa! Ningeshajua zamani! Sema leo ume nilet down. Unaacha ile clip kwa mange na hapa kwa Uzi haijatufikia?Mara paaaah Numbisa na Hawachi ni mtu mmoja
Yeah najua ni uzi wa likes ndio maana huwa napita kusoma bila kupost maana najua nikiweka chochote nitapata likeMe nataka nikuwekee ili ujue kwanini uzi huu uliitwa wa likes.
Siwezi kuleta uwongozi utanipa ban ya mileleHaa! Ningeshajua zamani! Sema leo ume nilet down. Unaacha ile clip kwa mange na hapa kwa Uzi haijatufikia?
Ukipata unaleta hapa kwanza!
Kwa nini una avoid likes?Yeah najua ni uzi wa likes ndio maana huwa napita kusoma bila kupost maana najua nikiweka chochote nitapata like
Basi uwe una ni PM afu me ndo naweka, maana naweza ku break BAN.Siwezi kuleta uwongozi utanipa ban ya milele