myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mgumu wewe hutakiwi kujua yanayoendelea huko usije kuwa temptedi
Mzee baba, kamanda, Katibu Mkuu wa CHACHAWA.....Unaonaje ubuyu wa babu Issa[emoji16][emoji23][emoji23][emoji2321][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Mimi nilitaka kuona limguu tu. Yule mama ana limguu linalonikoshaga sana. Nilikwenda kuona limguu tu dadangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro si uliomba yaishe ohooooo akiona mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sahihisho. Ni Mzee wa kuzinduliwa. Kuna tofauti kubwa kati ya kuzindua na kuzinduliwa especially for a man...
Kwa mwanaume mpaka kuzinduliwa ina maana unapiga mule mule mpaka wanakolea uzalendo unawashinda wanaamua tu wakuzindue wakidhani kuwa kwa kufanya hivyo ndiyo watajimilikisha...
Kuzinduliwa (tena twaisi) kwa mwanaume siyo ishu ndogo kama mnavyodhani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mgumu mai futi [emoji16][emoji16][emoji16]
#PotiMastiGo [emoji818][emoji818][emoji818]
Hana neno bro wangu yule.Bro si uliomba yaishe ohooooo akiona mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😁Hahaha..Perfect Answer
From expiriensi?Ukikataliwa hapa ndo kwisha japo usije kushangaa tena wenyewe hao hao wanajilengesha mmoja mmoja. Usipojiangalia unaweza kujikuta ushakanyaga kamati nzima [emoji16][emoji16][emoji16]
Wakati Bodi inajaribu kutatua huu mgogoro uliosababishwa na Mwenyekiti wetu kutumia madaraka yake vibaya, tunawaomba wanachama wote wa CHACHAWA kuwa watulivu huku wakisubiri maamuzi ya Bodi. Kwa mamlaka ya Bodi na kwa mujibu wa katiba yetu wanachama wote mnatangaziwa kuwa Mwenyekiti wa CHACHAWA (Poti Yego) amesimamishwa uanachama effective immediately. Shughuli zote za chama kwa sasa zitasimamiwa na Katibu wetu mkuu mchapakazi na mwadilifu sana SYB. Bodi inawataarifu wanachama kuwa mkwamo huu wa kikatiba utatatuliwa kesho baada ya Bodi kupitisha maamuzi ya kudumu. Asanteni kwa ushirikiano wenu !!!Wewe inabidi uombe upya uanachama, kikao cha nidhamu kitakaa kufikiria maombi yako! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]From expiriensi?
Wakati Bodi inajaribu kutatua huu mgogoro uliosababishwa na Mwenyekiti wetu kutumia madaraka yake vibaya, tunawaomba wanachama wote wa CHACHAWA kuwa watulivu huku wakisubiri maamuzi ya Bodi. Kwa mamlaka ya Bodi na kwa mujibu wa katiba yetu wanachama wote mnatangaziwa kuwa Mwenyekiti wa CHACHAWA (Poti Yego) amesimamishwa uanachama effective immediately. Shughuli zote za chama kwa sasa zitasimamiwa na Katibu wetu mkuu mchapakazi na mwadilifu sana SYB. Bodi inawataarifu wanachama kuwa mkwamo huu wa kikatiba utatatuliwa kesho baada ya Bodi kupitisha maamuzi ya kudumu. Asanteni kwa ushirikiano wenu !!!