mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Sio vitu vya Kuchelewa wanafuta haraka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa liver upo update
Sio vitu vya Kuchelewa wanafuta haraka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa liver upo update
Watu fulani eeeh!Kuna upepo watu Fulani tukiwepo speed inaongezeka nakumbuka mwanzo wa huu Uzi tulikuwa tunakesha na likes hila malkia wangu ni noma anatype kwa speed hatari hakika yule ni goddess
ISIS popote ulipo njoo my dear miss u sana
Hahahaha usirudie tena siku nyingine hizo shikamoo ni zetu sisi wahengaAlaaa kumbe ...I am taking it back[emoji774]
Sawa sawa mkuu kwa LeBron JamesAisee mm nipo LA Lakers
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli kabsaSio vitu vya Kuchelewa wanafuta haraka sana
Amun RaWatu fulani eeeh!
Haya upepo wa huu wa kenethi uendelee kuvuma
Yes..Na goti kabisa tunampigia M/kitiHahahaha hata akiwa anda 18
🤣🤣Amun Ra
Malkia wapi mkuu??Kuna upepo watu Fulani tukiwepo speed inaongezeka nakumbuka mwanzo wa huu Uzi tulikuwa tunakesha na likes hila malkia wangu ni noma anatype kwa speed hatari hakika yule ni goddess
ISIS popote ulipo njoo my dear miss u sana
Yap mkuuSawa sawa mkuu kwa LeBron James
Shika Moo Muheshiwa sanaHahahaha usirudie tena siku nyingine hizo shikamoo ni zetu sisi wahenga
Hahahaha haya bhana poti njoo upate heshima yakoYes..Na goti kabisa tunampigia M/kiti
Heee Unayataka?...Malkia wapi mkuu??
Tumemiss yale mapicha picha ya kichawi pamoja na majoka makubwa[emoji16][emoji16]
Marhaba Fragaria hujambo binti mpendwaShika Moo Muheshiwa sana
Aisee, safi sana mkuu LA lakers timu kubwa sana ileYap mkuu
Tangu Enzi za Magic Johnson ,Kobe Bryant ,Shaq O'Neil, aisee ni timu yangu pendwa
Yupo ninayo mengi kwenye gallery nitayapoti ikibidi hili uwepo wa ISIS uendeleeMalkia wapi mkuu??
Tumemiss yale mapicha picha ya kichawi pamoja na majoka makubwa[emoji16][emoji16]
Mi mzima nashukuru Mungu kwa Neema zakeMarhaba Fragaria hujambo binti mpendwa
Ndio,mbona unaangalia The Originals,Witches of East End,Secret Circle na haushituki Frag[emoji16][emoji16]Heee Unayataka?...
Ning hujambo?