mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Napenda Basketball Nilikuwa captain wa kanda ummisetaAisee, safi sana mkuu LA lakers timu kubwa sana ile
Hakika Mungu ni mwema na wakushukuriwa kabisa hatuna cha kumlipa zaidi ya kumwabu yeye tuMi mzima nashukuru Mungu kwa Neema zake
Dah..the originals niliiangaliaga lakini haifikii hizi za Malkia aiseeNdio,mbona unaangalia The Originals,Witches of East End,Secret Circle na haushituki Frag[emoji16][emoji16]
Sijambo dada ake,,habari yako?siku yako imeendaje huko?
Siku yangu ilikuwa ni mchakamchaka..Lakini poa tu ..ThxNdio,mbona unaangalia The Originals,Witches of East End,Secret Circle na haushituki Frag[emoji16][emoji16]
Sijambo dada ake,,habari yako?siku yako imeendaje huko?
Mzima Nashukuru..mnatunyima nini pande hizo?Safi, mzima
Wajamaa wabaya sana hawa..invading people's privacyAisee jamaa bonge la hacker
🤕🤛🤛🤛 Kula za uso kwanza.
Hahaha kwani ulitaka kuona nini Mzeebaba?Mguu hauonekani. Yupo anajaribu kujitandika mdori. Mauzauza tupu hakuna jipya kamanda. Nimepoteza MB zangu bure tu. Hizi siwezi kushtaki mahali Tigo wakanirudishia hizi MB zilizopotea bure?
Ulinichekesha wewe...eti waumini watakimbia kanisa..Nilitamani kuwa Padri sijui nilikosea wapi- JPM
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]itapendeza mzee wa liverYupo ninayo mengi kwenye gallery nitayapoti ikibidi hili uwepo wa ISIS uendelee
Aisee,safi sana mkuu,ipo kwenye damu kumbeNapenda Basketball Nilikuwa captain wa kanda ummiseta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah..the originals niliiangaliaga lakini haifikii hizi za Malkia aisee