Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Kadri unavyokazana kutumia Wi-Fi ya ofisi ku download movie ndio dada wa kazi anavyokazana kuchemsha maharagwe kwa gesi nyumbani[emoji22][emoji22], Amini nakwambia malipo ni hapahapa duniani*[emoji23][emoji23][emoji23]
 
“Unaposema lazima watanzania wasajili laini za simu kwa kitambulisho cha taifa na wakati NIDA hawajamaliza kutoa vitambulisho kwa watanzania hii haiwezekani, lazima zoezi la kutoa vitambulisho liende na usajili”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…