capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
😀😀😀 Kuna mwenzangu ametoka kuniambia hii halafu 5 mn after nikakusoma hapa🙂🙂*Kadri unavyokazana kutumia Wi-Fi ya ofisi ku download movie ndio dada wa kazi anavyokazana kuchemsha maharagwe kwa gesi nyumbani[emoji22][emoji22], Amini nakwambia malipo ni hapahapa duniani*[emoji23][emoji23][emoji23]
Malizia "wilayani chato"Usisahau na hii..
2060.. KIJANA MMOJA AMEFUNGA NDOA NA ROBOT SOPHIA.
Salama mkuu,
Kwema huko?
Salaam dadake
Nishaona[emoji41][emoji41]View attachment 1084192