Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]... Halafu ujue nilikulengesha, nilidhani wewe ni Bahati Mgunda. Basi wewe utakuwa jamaa mmoja alikuwa anaitwa Yassin Msira, huwezi kuwa Gamba Kwa watu wa kutoka pande ile, wale walikuwa wakubwa enzi hizo! [emoji23][emoji23]
Andaeitini mai futi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Rudisha mafaili na pesa za chama vinginevyo tutakufikisha mbele ya sheria
 
Andaeitini mai futi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Rudisha mafaili na pesa za chama vinginevyo tutakufikisha mbele ya sheria

[emoji23][emoji23][emoji23]... Mwenyekiti hatishiwi bana. Bado tunapitia mafaili yako, tutakupa hata ujumbe wa Kamati Kuu tukiridhika na tutakachokiona kwenye hayo mafaili!
 
Back
Top Bottom