Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Na sisi hatusemi ukweli mkitubana namna hiyo...Lazima iyo tujue mapema
Kama hamsemi ukweli tunajiongezaNa sisi hatusemi ukweli mkitubana namna hiyo...
Liberty. Thanks [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Halafu mkijiongeza inakuwaje kama tunaendelea kunyandua?Kama hamsemi ukweli tunajiongeza
Tayari nishahukumiwa siirudishiMi siirudishi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1084953
[emoji16][emoji16] shikamoo Kaka akeLiberty. Thanks [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ukiwa naye wa hivi utaosha vyombo mpaka ukome !!!
Mimi nikijiongeza ujue naondoka mzima tusipotezeane bahati kusubiri mtu ambaye hana malengo nami.Halafu mkijiongeza inakuwaje kama tunaendelea kunyandua?
Uwiiiiii !!![emoji16][emoji16] shikamoo Kaka ake
Hawachi bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mimi nikijiongeza ujue naondoka mzima tusipotezeane bahati kusubiri mtu ambaye hana malengo nami.