Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapendwa;

Safari hii lazima niage. Vinginevyo King Davet atanizushia kila aina ya skendo.

Naingia chimbo muhimu sana na sitaweza kuwa hewani hapa kufurahi na kutaniana kama nilivyozoea. Nyinyi ni sawa na familia na naamini nitawamisi sana.

Mungu Akipenda Tutaonana tena terehe 31 Mei 2019. Nawapenda sana na bakieni katika mibaraka na uangalizi wa Mungu wetu.



#HakunaNyandazaJuuKusini
#Sijanyang'anywaNywila
#MsisikilizeUwongowaKingDavet
#MajukumuyaKazi
#MwanaumeKupambana
#WanaumeTumeumbiwaMateso
#KupambanakwaAjiliyaFamilia
#Sijazinduliwa

Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…