Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika mechi ya awali ambapo Ajax walikuwa nyumbani walikubali kipigo cha 2-1. Pale ambapo kila mtu alipodhani kuwa safari ya Waholanzi hao imefika tamati, wakawafunga mabingwa watetezi 4-1 wakiwa nyumbani kwao Santiago Bernabeu.
Kwenye hatua ya robo fainali Ajax wakapangiwa miamba ya Italia, Juventus, na hapo pia wengi wakaipigia upatu Juve ambayo safu yake ya ushambuliaji inaongozwa na nyota Cristiano Ronaldo.
Mechi ya kwanza ikapigwa Uholanzi na ikaisha kwa sare ya 1-1. Mechi ya pili iliyochezwa jijini Turin Italia, Juve wakakubali kichapo cha 2-1.
 
Ndio maana chama cha wapiga p*li kinazidi kushika kasi.
Kupiga puli naamini ni hatua unapitia. Maisha ya boarding school huko. Ukivuka hicho kipindi ukaaanza kuwa kwenye mahusiano imara inabidi uache. Ukizubaa ukakwama huko kuondoka CHAPUTA ni mtihani hevi kokeini cha mtoto [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tottenham kwa upande wao waliwang'oa miamba ya Ujerumani Borrusia Dortmund katika hatua ya mtoano na kupambana kufa na kupona katika hatua ya robo fainali dhidi ya Manchester City.
Mechi ya kwanza ya kwanza iliisha kwa Spurs kupata ushindi mwembamba wa goli 1-0 wakiwa nyumbani. Mechi ya pili ambayo ilikuwa na msisimko wa pekee iliisha kwa City kupata ushindi wa 3-2. Hata hiyo Spurs ilisonga kwa faida ya magoli ya ugenini baada ya matokeo ya jumla kuwa 3-3.
 
Tuna ari kubwa kuwa tunaweza kushinda kitu chochote - hiyo ndiyo nguvu yetu," amesema Pochettino.
"Tuna nafasi nzuri kwa hatua tuliyofikia ya kucheza nusu fainali, si kitu kinachotokea kila siku. Hata hivyo lazima tuwaheshimu wapinzani wetu. Ajax wanastahili kabisa kuwepo hapa walipo. Itakuwa mechi ya ushindani mkuba sana.
 
Taarifa za timu
Spurs watamkosa mshambuliaji wao kinara Harry Kane, ambaye amepata majeraha ya mguu kwenye mechi ya pili dhidi ya City.
Mshambuliaji mwengine hatari wa Spurs raia wa Korea Kusini Son Heung-min, atakosa mchezo huo akitumikia adhabu.
Kutokuwepo kwa Kane na Son kunampa nafasi Lucas Moura kuanza katika mechi ya leo usiku.
 
Ni nafasi kubwa sana kwangu," amesema mshambuliaji huyo raia wa wa Brazil. "Ni ndoto kushiriki katika michuano hii. Nahitaji kufurahia nafasi kuu na kucheza katika kiwango bora kabisa."
Kikosi cha Ajax kinachonolewa na Erik ten Hag kipo kamili kuvaana na Spurs. Kikosi hicho kinaongozwa na nahodha mdogo mwenye miaka 19 Matthijs de Ligt. Safu yao ya ushambuliaji ipo chini ya Tadic aliyefunga goli 34 katika msimu huu mpaka sasa.
 
Tunataka kuendelea na safari hii," amesema Ten Hag.
"Ni jambo la kufurahisha kuwa tumefika hatua ya nusu fainali. Hakuna mtu yeyote ambaye angeweza kutabiri mwanzoni mwa msimu kuwa timu kutoka Uholanzi ineweza kufikia hatua hii. Tumefanikisha kitu lakini tunataka mafanikio makubwa zaidi."
 
Nimejifunza hili kwa hawa wenzetu. Wanajiandaa mapema sana. Wananunua ployi mapema na wanajua watakapolazwa. Kama unataka kupigwa kiberiti sema. Kama unataka usafirishwe ukazikwe karibu na kaburi la bibi yako sijui wapi sema. Na pesa za kukusafirisha uziweke kwenye akaunti kabisa zibakie huko. Au unanunua bima ya mazishi na wao wanashughulika na kila kitu exactly unavyotaka. Yaani inarahisisha sana mambo...All of us gonna die...sad !!!
Hii ni tamaduni ya India mkuu Tanzania ipo hii?
 
FB_IMG_1556647843185.jpeg
 
Kupiga puli naamini ni hatua unapitia. Maisha ya boarding school huko. Ukivuka hicho kipindi ukaaanza kuwa kwenye mahusiano imara inabidi uache. Ukizubaa ukakwama huko kuondoka CHAPUTA ni mtihani hevi kokeini cha mtoto [emoji16][emoji16][emoji16]
Ubaya wa puli ni kwamba unaweza kugonga hata tano kwa siku lakini hamu ipo pale pale ila ukihamisha hizi mbao kwa KE unakata hamu ya kula K kuanzia siku 3
 
An old man wrote a will to his two sons, after my death demolish this house you will find a metal case.Two years later he died & buried. The following day the house was demolished, they found a case with peace of paper written! if you are real men construct your own House.'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom