Hata ukiondoka haitabadirisha uhalisia kwamba lengo limetimia.Mimi nikijiongeza ujue naondoka mzima tusipotezeane bahati kusubiri mtu ambaye hana malengo nami.
SawaHata ukiondoka haitabadirisha uhalisia kwamba lengo limetimia.
Mjifunze sana tabia na malengo ya wanaume vinginevyo mtapata tabu sana
Kweli tupu, wanawake wa leo bila kumdanganya utabaki mwenyewe ukihesabu wapitao na warudio, kisha wale wenye sifa za uongo wanajitwalia[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Kweli tupu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1084963