Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]hamna kiutu kama hicho. Unaweza penda kuangalia angalia misambwanda na ukawa mwaminifu kwenye mahusiano yako.
Na mimi nina bahati. Demu wangu alikuwa na limsambwanda la kufa mtu lakini alikuwa akiona linalomzidi hata kama sipo analipiga picha na kuja kunionyesha...

Eti babe. Unafikiri huu mtako unazidi wa kwangu?

Hebu sogea hapa nilinganishe vizuri

Hapana mi sisogei. Najua nikisogea yatakuwa mengine...

Tunacheka na kufurahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Apparently
Namtafuta binti yangu. Pulizi msalimie. Mwambie kuwa alichokuwa anakitafuta muda tayari [emoji16][emoji16][emoji16]
697c29389acb9ff012c7a2488fc01f79.jpeg
 
HABARI ZA HIVI PUNDE
Mchimbaji mdogo wa Madini ya Almasi wilaya ya Kishapu aibuka na Almasi Kubwa kuliko zote Tanzania. Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Zainabu Telack ameitangaza Almasi hiyo mbele ya waandishi wa habari Kuwa inauzito wa karati 521 kuliko zote zilizochimbwa Mkoa wa Shinyanga au Tanzania Kwa kuwa hadi sasa Almasi zenye uzito wa karati 300-421ambazo zimekuwa zikipatikana mgodi wa wiliamson- Mwadui uliopo wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga . Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ametoa wito kwa wanunuzi wa Almasi kufika mkoani wa Shinyanga.
 
Back
Top Bottom