Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
PetraTammy the baddest
PetraTammy the baddest
Doctor's advocatesThe Game-Dreams
StoshPetra
Mzee mwenzangu ulishaangalia hii Straight outter Compton?Doctor's advocates
AmeenKila la kheri bro,Mungu akusimamie kwenye shughuli zako[emoji120][emoji120]
maana ya jina lako GemplatnumzNiulize chochote nitakujibu
Ndio bro,ile huwa naipenda sana,rest in peace EMzee mwenzangu ulishaangalia hii Straight outter Compton?
Mambo bibie,mzima weweAmeen
Gem ni madini ghari na ya thamani kubwamaana ya jina lako Gemplatnumz
Mzima hawajambo wajukuuMambo bibie,mzima wewe
Why uliamua kujiita madini na sio mkaa kwamba unaendana kimuonekano na hayo madini?Gem ni madini ghari na ya thamani kubwa
Or lulu
Platanumz madini maeupe ya thamani
Hahaha cheki unavyojivika ukubwa sasaMzima hawajambo wajukuu
Hatari sana mwenyewe nimeielewa mno pia wahusika wameendana kabisa na majamaa halisiNdio bro,ile huwa naipenda sana,rest in peace E
😂😂😂😂😂😂 mkuu kila jina nilipata kipindi naimba umisetaWhy uliamua kujiita madini na sio mkaa kwamba unaendana kimuonekano na hayo madini?
😀😀😀😀😀Hahaha cheki unavyojivika ukubwa sasa
Mtoto wa Ice Cube na yule jamaa aliyecheza kama Dre,wale kwenye movie wanakuja vizuri sana,,,nilimuona mtt wa Cube kwenye movie ya Den Of Thieves,,,hatari sana ileHatari sana mwenyewe nimeielewa mno pia wahusika wameendana kabisa na majamaa halisi
Hahaha ukaamua kuchagua jina nzuri😂😂😂😂😂😂 mkuu kila jina nilipata kipindi naomba umiseta