Wao wamezoea kunyankua tu sio kunyankuliwa kuibiwa wala kutendwa daahKhloe bhna,ishue yake na Tristan inamtafuna sio kitotoView attachment 1085564
Kumbe Yule alicheza kama Cube ni mwanae kabisa?Mtoto wa Ice Cube na yule jamaa aliyejezaa kama Dre,wale kwenye movie wanakuja vizuri sana,,,nilimuona mtt wa Cube kwenye movie ya Den Of Thieves,,,hatari sana ile
Kweli kabsa Numby,ikitokea kwao wanaona kama kipya kiuharisia hv vitu mtaan vya kawaida sana,tunaishi navyoWao wamezoea kunyankua tu sio kunyankuliwa kuibiwa wala kutendwa daah
#ItakuumizabaadaeliverwakichukuandoowatatambasanakwatimuzaEngland#hainihusuhaiumizi
Yes ni mwanae kabsa,mtoto wa Cube yule,Cube alizaa mapema sana,raha iliyoje[emoji2][emoji2]Kumbe Yule alicheza kama Cube ni mwanae kabisa?
Kweli mzee kuleta zao mapema ina raha yake. Duh ngoja na mimi nifate nyayo bhana 😀😀Yes ni mwanae kabsa,mtoto wa Cube yule,Cube alizaa mapema sana,raha iliyoje[emoji2][emoji2]
Hahahaa umeanza,bro hajamaliza hata wiki,hashtag tayali#ifudieudie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]#hainihusuhaiumizi
Team Ajax,,tujuane mapema[emoji23][emoji23][emoji23]#uefayaajaxhahahaha
[emoji2][emoji2][emoji2]fanya mpango mzee,si unaona inavyokuwa rahaKweli mzee kuleta zao mapema ina raha yake. Duh ngoja na mimi nifate nyayo bhana [emoji3][emoji3]
Hahahaha[emoji23][emoji23]*Nmemtumia dem wangu sms "Mambo",,, kwa simu ya rafik angu, kanijib poa mumewangu[emoji4][emoji4][emoji4]... Kumbe ananijua hata nikitumia namba nyingine*[emoji8][emoji8]
Hahah unanijaza mzee[emoji2][emoji2][emoji2]fanya mpango mzee,si unaona inavyokuwa raha