Ha ha haHahaha tume imetoa majibu feki hakika uchunguzi uludiwe kwa makini zaidi, Nipo salama kabisa
Sawa uwongo huwa unaaminika zaidi kuliko UkweliHa ha ha
Tunaepuka gharama mpendwa,majibu ya tume yaheshimiwe[emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji125][emoji125][emoji125]Sawa uwongo huwa unaaminika zaidi kuliko Ukweli
Siasa sio mchezo mzuri
Anfield pale Messi Ana goli zake Mbili Tena
Ronaldo amepambana sana kufananishwa na GOAT Messi
Ha ha ha Ronald anatoka wapi tena hapa broRonaldo amepambana sana kufananishwa na GOAT Messi
Haha atakuja na hashtag,sasa hv ni mwendo wa hashtag tu[emoji23][emoji23]Cc Binti Mpole [emoji1550][emoji3603][emoji1550][emoji3603][emoji1550][emoji3603][emoji1550][emoji3603][emoji1550][emoji3603][emoji1550][emoji3603][emoji1550][emoji3603][emoji1550][emoji3603][emoji1550][emoji3603][emoji1550][emoji3603]
Ha ha ha Ronald anatoka wapi tena hapa bro
Haiwezi kutokea bro bora Roma walikua na goli la away[emoji16][emoji16] mazoezi tena,angalieni isije tokea kama ya As Roma bro