Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
#😂😂#mmhnawewesemaasante
#Asante
#😂😂#mmhnawewesemaasante
Wapi ule utatu mtakatifu. Hahah[emoji23][emoji23][emoji23]bila kumsahau kipa ghari kabsa
Naona Salah anashuhudia uwanjani yale maufundi waliokua wanaoneshana kwenye tangazo la Pepsi
Tulia tulia bro ake bro. Ronaldo anaelekea kustaafu. Tusijemuumiza kwa kutaka afanye makubwa. Kama rekodi keshavunjaaaaaaWapenzi wa Ronaldo ndiyo wengi mnatamani awe na uwezo wa Messi hivi Free-kick kama ile Daah Ronaldo mpambanaji sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha ngoja tusubiri broHaiwezi kutokea bro bora Roma walikua na goli la away
Hawa jamaa natamani wasistaafu milele maana burudani zao naimani hatutaziona tena katika ulimwengu wa Soccer.Tulia tulia bro ake bro. Ronaldo anaelekea kustaafu. Tusijemuumiza kwa kutaka afanye makubwa. Kama rekodi keshavunjaaaaaa
Juche ina sehemu zake huwezi itumia bro,,kama kule C class[emoji2][emoji2],,msimamizi akiwa juu anawazoom woteView attachment 1086099
Juche! [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Tusubiri final tu hapo mzeeHahaha ngoja tusubiri bro
Ile free-kik ni hatari sana broNaona Salah anashuhudia uwanjani yale maufundi waliokua wanaoneshana kwenye tangazo la Pepsi
Ndo hivyo tena haiwezekan kucheza milele. Yaani hata leo ronaldo akisema anastaafu kwangu itakua poa. Maana kazi kubwa keshaimaliza,kawavuruga haters kila kona kwa rekodi za kila aina.Hawa jamaa natamani wasistaafu milele maana burudani zao naimani hatutaziona tena katika ulimwengu wa Soccer.
Sent from heaven for special mission
Ha ha ha ha hizo hashtag hahaNdo hivyo tena haiwezekan kucheza milele. Yaani hata leo ronaldo akisema anastaafu kwangu itakua poa. Maana kazi kubwa keshaimaliza,kawavuruga haters kila kona kwa rekodi za kila aina.
Kwa sasa hata messi akichukua ballon ni haki yake maana madrid washazoea ni mali ya timu yao ukisepa hupati,wanafanya figisufigisu za maana. Saiv wanakosa yote iwe kombe au medali
#hivimodricalishastaafuaubadoyupohahaha
Mkuu ile kitu ni hatari sana kama unashabikia liver na una presha inaweza kukuletea shida kwakweli...Ile free-kik ni hatari sana bro
#😂😂Ndo hivyo tena haiwezekan kucheza milele. Yaani hata leo ronaldo akisema anastaafu kwangu itakua poa. Maana kazi kubwa keshaimaliza,kawavuruga haters kila kona kwa rekodi za kila aina.
Kwa sasa hata messi akichukua ballon ni haki yake maana madrid washazoea ni mali ya timu yao ukisepa hupati,wanafanya figisufigisu za maana. Saiv wanakosa yote iwe kombe au medali
#hivimodricalishastaafuaubadoyupohahaha
Numbisa bana, hebu tufanyie kaclip kaile cross ya Messi basi 😀Tulia tulia bro ake bro. Ronaldo anaelekea kustaafu. Tusijemuumiza kwa kutaka afanye makubwa. Kama rekodi keshavunjaaaaaa
Kabla ya hii cross, kipa alikua kiwewe juu tayari