Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawa jamaa natamani wasistaafu milele maana burudani zao naimani hatutaziona tena katika ulimwengu wa Soccer.

Sent from heaven for special mission
Ndo hivyo tena haiwezekan kucheza milele. Yaani hata leo ronaldo akisema anastaafu kwangu itakua poa. Maana kazi kubwa keshaimaliza,kawavuruga haters kila kona kwa rekodi za kila aina.

Kwa sasa hata messi akichukua ballon ni haki yake maana madrid washazoea ni mali ya timu yao ukisepa hupati,wanafanya figisufigisu za maana. Saiv wanakosa yote iwe kombe au medali

#hivimodricalishastaafuaubadoyupohahaha
 
Ha ha ha ha hizo hashtag haha
 
Ile free-kik ni hatari sana bro
Mkuu ile kitu ni hatari sana kama unashabikia liver na una presha inaweza kukuletea shida kwakweli...

Alafu kuna mchambuzi kabla ya game nilisikia akisema alifatilia mazoezi ya Barca walikua wanafanya mazoezi ya kupige Mpira iliyokufa tu, sasa baada ya lile goli nikaona kabisa wenzetu hawabahatishi vitu
 
#πŸ˜‚πŸ˜‚
#badoyupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…