Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimesoma mda huu yaani yule Mange ana roho mbaya. Zari Leo kapumzika huko aliko anashukuru ni zamu ya mke wa Mengi
Aiseee haya mambo makubwa angeacha tu yapite familia iamue yenyewe. Enzi za zari alisema zari kamuua ivan mara hatarithi mali mara ivan mzima kajificha.

Mwanamke anaroho mbaya yule sijapata kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…