Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu mtu ambaye ameweza kubadili msiba kuwa umbea kwa sasa kila mahali watu wanajadili Usaliti ni wa kuchezea huyo [emoji4]
Siku zote ukiishi kinafiki, na ukauamini huo unafiki, utaendelea kukutafuna mpaka kufa kwako.
Siasa za kinafiki zimefanya watu waamini unafiki wa mtu mpuuzi na wanaendelea nao, acha uwatafune.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…