Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Nje ya kibanda cha Simu tangazo la uzushi, mkopo amesafiri kinachotakiwa cashKibanda cha Simu - sog dog
Nje ya kibanda cha Simu tangazo la uzushi, mkopo amesafiri kinachotakiwa cashKibanda cha Simu - sog dog
Humo ndani jamaa waliuza virungu vya mgambo kwa mama ntilie wafanye kuni
Marafiki nao kwenye kibanda changu full mimoshi 😀😀😀Nje ya kibanda cha Simu tangazo la uzushi, mkopo amesafiri kinachotakiwa cash
Mara ghafla si akaja mwarabu katika kuongea si akataja dodoma nikajiuliza anataka kulipua bungeNje ya kibanda cha Simu tangazo la uzushi, mkopo amesafiri kinachotakiwa cash
Mtoto wa getti kaliLakini je je
Unaweza kula ugali kwa kulumagia na kachumbari
Mtoto wa getti kali
Hapana mimi mtoto wa uswazi mbagara 😀😀😀Na wewe mtoto wa geti nini ?
Kama mipango yote amepanga mwenyezi,Nimechezea bahati ona nalia sasa najutaMan X- nimechezea bahati ft Dully
Hapana mimi mtoto wa uswazi mbagara [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama mipango yote amepanga mwenyezi,Nimechezea bahati ona nalia sasa najuta
Hapana mkuuNikajua wa geti kali ili nijigeuze Inspecta Haruni [emoji1549]
😀😀😀😀😀Yaani nachana mistari kama kawaidaUko vizuri aisee