Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Imenibidi niisikilize baada ya kusoma comment yako hii nyimbo siichoki.Ratifa-Mb Dog
Imenibidi niisikilize baada ya kusoma comment yako hii nyimbo siichoki.Ratifa-Mb Dog
Na mimi nita like kimyakimya
Post kimyakimya
😄😄😄😄Kilio nakisikia dakika za mwisho mpenzi wangu najutia kosa nilokufanyia.Yeah juu ya kaburi lako nalia
Imenibidi niisikilize baada ya kusoma comment yako hii nyimbo siichoki.
Imenibidi niisikilize baada ya kusoma comment yako hii nyimbo siichoki.
Ni hatari huyo mtuHuyu marehemu alikuwa gifted sana
Profesa J ft Jay D- Niamini
Ni hatari huyo mtu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kilio nakisikia dakika za mwisho mpenzi wangu najutia kosa nilokufanyia.
Acha uwongo 😀😀😀Na Mimi Nipo nazisikiliza hapa
😂😂😂😂 Daah nimecheka sana
Acha uwongo [emoji3][emoji3][emoji3]
Nakutafuta nione sura yakoVipo vya kushare Raty sio mapenzi
Acha uwongo [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama wanipenda kaninunulie zeze,nikilala kitandani zeze la nibembeleza. Usiku silali.....Sure sikuongopei sasa hivi nasikiliza
T.I.D- zeze
Kama wanipenda kaninunulie zeze,nikilala kitandani zeze la nibembeleza. Usiku silali.....
Mpenzi zeze Sema basi kama unanikata,usiniletee mapozi machizi watakushangaa.Kama wanipenda kaninunulie zeze