Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
HapanaKwani nimeshawahi kukuongopea ?
HapanaKwani nimeshawahi kukuongopea ?
Mpenzi zeze Sema basi kama unanikata,usiniletee mapozi machizi watakushangaa.
Hahaha halafu mimi msanii ujue Sema Sitaki kujulikana 😄😄😄😄😄Uko vizuri kumbe mpaka michano
Hahaha halafu mimi msanii ujue Sema Sitaki kujulikana [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi tatizo bi mkubwa home hataki kusikia swala la mziki kuna rafiki zangu walikuwa wakija home ananigombeza hatariVyema Mimi mwenyewe kipindi hicho sikuwa na pesa ya kuingia studio na producer walikuwa wachache sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi tatizo bi mkubwa home hataki kusikia swala la mziki kuna rafiki zangu walikuwa wakija home ananigombeza hatari