Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaaa ndio jamani mbona watu wanadoubt my sex[emoji28] au ni hili jina
Jamani mimi ni msichana wa kike.
Ni mkristo asiyeeenda kanisani mara kwa mara.
Bado ninasoma chuo.Afya.
Napenda Music saaaaaaaaaaana.
Na nawapenda wote.
Na napenda likes zenu pia.
Tayari... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
19624302_448941738809433_3686654417689378816_n.jpg
 
Hahaaa ndio jamani mbona watu wanadoubt my sex[emoji28] au ni hili jina
Jamani mimi ni msichana wa kike.
Ni mkristo asiyeeenda kanisani mara kwa mara.
Bado ninasoma chuo.Afya.
Napenda Music saaaaaaaaaaana.
Na nawapenda wote.
Na napenda likes zenu pia.
Usiwe na wasi wasi mdada wa chuo.
Jisikie huru tu jiachie tu mama.

Umefika muda muafaka mama
 
Back
Top Bottom