Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Dah bonge la ngomaMkuki moyoni ~ Afande Selle
Hakuonekana na binti,hakuwahi kuihasi dini,Mfuasi mzuri wa maadili lakini alikufa kwa ngoma.Alikufa kwa ngoma ~ FA
Sanaa yani hawa jamaa wa zamani walikua wanafanya kweliDah bonge la ngoma
Ngoma za Zamani kwangu sizichoki kusikilizaSanaa yani hawa jamaa wa zamani walikua wanafanya kweli
Bongo la Idea. DaahHakuonekana na binti,hakuwahi kuihasi dini,Mfuasi mzuri wa maadili lakini alikufa kwa ngoma.
Me pia ata kwenye simu yangu zimejaa hizo mana za siku hizi najua nitazisikia tu kwenye radio au kuona kwa TvNgoma za Zamani kwangu sizichoki kusikiliza
Imekaa vibaya hii kwangu ijatulia,Imekaa vibaya tuludi kijijiniKarl P- Imekaa vibaya
Humo ndani jamaa waliuza virungu vya mgambo kwa mama ntilie wafanye kuniKarl P- Imekaa vibaya
Gangwe Mobb- Mtoto wa Geti