[emoji102]Ukhuty nina maongezi na wewe
NdomboloooMhenga tu ataelewa hapaView attachment 535417
Tayari... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaaa ndio jamani mbona watu wanadoubt my sex[emoji28] au ni hili jina
Jamani mimi ni msichana wa kike.
Ni mkristo asiyeeenda kanisani mara kwa mara.
Bado ninasoma chuo.Afya.
Napenda Music saaaaaaaaaaana.
Na nawapenda wote.
Na napenda likes zenu pia.
Babe S alisafiri kikazi kwenda Mtwara na mimi nikaenda ShyMlipotelea wapi na, bebe
Prince William and his wife princess Diana[emoji102]
Kaharibu sana humu ndani sidhani kama anauwezo wa kukaa humuandjul yuko jamani...!???
Prince William and his wife princess Diana[emoji102]
ho chi minh naye!?Kaharibu sana humu ndani sidhani kama anauwezo wa kukaa humu
Unapeeeernda mwenyee kula iyoJamaaaani....We kaka una roho nzuriiii......Yani unanipa likes kabisa...Waaaaooow......Nnavyotupendaga tulikes sasa...Haya nshacomment
Usiwe na wasi wasi mdada wa chuo.Hahaaa ndio jamani mbona watu wanadoubt my sex[emoji28] au ni hili jina
Jamani mimi ni msichana wa kike.
Ni mkristo asiyeeenda kanisani mara kwa mara.
Bado ninasoma chuo.Afya.
Napenda Music saaaaaaaaaaana.
Na nawapenda wote.
Na napenda likes zenu pia.
Yupo tu anazururaho chi minh naye!?
Mbona mapema!!!!Nalala saa hizi,asbhi ikifika nataka nikute 96k so ongezen bidii