Kitaani buana kuna mambo mengine yanafanyika utashangaa, mke wa kocha wa Kingue FC, awashangaza mashabiki baada ya kwenda uwanjani kuanzisha ugomvi na mumewe timu hiyo ikicheza na Nsingwa.
Ilikuwa mechi ya kirafiki ilichezwa Uwanja wa Charanga uliopo Mbezi jijini Dar es Salaam, ugomvi wa kocha huyo na mke wake ulitokana na pesa kiasi cha Sh 2000.
Lafudhi yao ndio balaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke huyo alitoka kwa hasira nyumbani kwake na kumvaa mume wake akiwa katika majukumu akimtuhumu amechukua pesa yake, baada ya majibizano wakashikana mwili na kuanza kuzichapa.