Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitaani buana kuna mambo mengine yanafanyika utashangaa, mke wa kocha wa Kingue FC, awashangaza mashabiki baada ya kwenda uwanjani kuanzisha ugomvi na mumewe timu hiyo ikicheza na Nsingwa.
 
Ilikuwa mechi ya kirafiki ilichezwa Uwanja wa Charanga uliopo Mbezi jijini Dar es Salaam, ugomvi wa kocha huyo na mke wake ulitokana na pesa kiasi cha Sh 2000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…