Me nilikuwa mfuta machozi tu. Ulimtoroka yule binti!Huyo huyo mzee
Hahah! Yule binti alionekana kuzimika kwa machizi wa kibongo sema tu ndio vile long distanceNadhani ali fall kwako Bro, nilifanya kumuazima kitambaa afute machozi tu.
Sijui kwanini ulimtoroka yule binti!?
Lyrics za jamaa na Young Killer huwa zinanivutia sanaStamina[emoji119]
Labda misingi ya kubuni mambo ya kujenga hatuna pia nahisi kwamba waliobuni hili ni watu walioshakata tamaa ya maishaMaisha yanakuwa magumu! Lakini hta hivyo, Inashangaza badala ya kubuni mambo yanayoboresha maisha tunabuni njia za kurahisisha kuharibu maisha yetu kwa haraka. Sad!!
Lakini bro naimani hapo hacker kampiga Chura teke πππ. Hujawai kiniangusha najua utatembea na njia alizokuanzishia hackerHacker alifanya yake bro[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtata kweli sema alikua real pia consciousPhylgie mtata sana,