Nmesikia sumu ya panya pia Tanzania hutumiwa kama dawa ya kulevya!Madawa ya kulevya yaogope yatakupa uchizi
😂😂 hakikaKuliko kuitwa mjanja kwenye kundi la washamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Hii simu nimeimeza mwenyewe nilipita maeneo flani nikakugumia unadekezwa kama Mboso 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tayali umeshamezeshwa sumu naona
Stamina[emoji119]Nipendezeshe maisha yangu kama dressing table ya mkongo
Nikweli bro watu washaongeza huu ubunifu mpaka wamefikia huko, hii ni hatari sana kwa vijanaNmesikia sumu ya panya pia Tanzania hutumiwa kama dawa ya kulevya!
Tunakoelekea ..
Ha ha ha hiki kipicha kimenichekesha sana,halaf jamaa hana tabu na mtu,,anatumia jasho lake wanasema[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio mimi mzee baba,kuna mtu atakuwa alihack hii acc,,unafukua makubari broHahah! Hii simu nimeimeza mwenyewe nilipita maeneo flani nikakugumia unadekezwa kama Mboso [emoji23][emoji23]
Salama ndugu yangu?Kuna wakati utalazimika kuachana na Marafiki ili upate Mafanikio.Nawasalimia wapendwa.
Hahah bro bro eti hacker alifanya yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio mimi mzee baba,kuna mtu atakuwa alihack hii acc,,unafukua makubari bro
[emoji106][emoji106]Vitu vikubwa vya kumuomba Mungu akupatie ni Busara, Amani ya moyo na Usikivu.