andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Tajiri yangu ho chi minh
That will be very fun VEHow about dinner and dance somewhere very special VE?
Anko kwema kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema binti mpole ?
Wimbo unaimbwaje vile ???
Yaani sijui inatokea nini [emoji23][emoji23] ukifika home ndio unaanza kujiuliza hivi kweli mimi ndio nimenunua hiki kitu mbona uselessHa ha ha
Kwan tatzo ni nn hasa hadi inapelekea mtu anafanya hivyo,,imagine unaweza kuta hadi uliweka plan zako kabsa,lkn unajikuta imefanya hv[emoji23][emoji23]
Tupo poa ankoo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hawa yuuuniii akina ankooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anko kwema kabisa
Inaimbwa #shikakidondokwendasukumashikakidondoeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna comment ya jamaa wa barca anasema hawampend sabau alikua anawa humiliateUkweli ndio huo maana ata Messi nae watu Madrid hawampendi vile vile
Mkuu kwema ?[emoji1419][emoji1417]
Safi kabisa tumekuona anko. Natumaini u mzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo...
Ahsante mamaangu[emoji120][emoji120]
Kuliko kuitwa mjanja kwenye kundi la washamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora kuitwa mshamba kwenye group la matapeli
Mkuu kwema ?
Kijana naona unashuka mistari utadhani unaruka madimbwi ya kidongo chekundu[emoji1][emoji1][emoji1]Kupanda na kushuka ndio chart isiyohitaji rangi
Barca fan gani huyo anaetoa taarifa za uongo, ni lini Cr7 kawahumiliate Barca au jinsi alivyokua anashangilia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna comment ya jamaa wa barca anasema hawampend sabau alikua anawa humiliate
Karbu ankoo,habari za siku??salama huko?