Mastaa wengine walionekana kama wanamitindo wa kutambulisha jezi hizo mpya ni N’Golo Kane na Ethan Ampadu, lakini Hazard akionekana kuwa ndiye steringi wa tukio hilo, jambo lililowafanya mashabiki kutumia kurasa zao za Twitter kuzungumzia jambo hilo kwa furaha kubwa.