andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mungu ni mwema kwakweli. Niliwakumbuka piaSafi kabisa tumekuona anko. Natumaini u mzima
Mungu ni mwema kwakweli. Niliwakumbuka piaSafi kabisa tumekuona anko. Natumaini u mzima
Ha ha na shughuri nzima inakuwa mwisho wake hapoHeheh! Hatari bro watu wanaiangukia cake wanaingiza mkwanja
Ha ha ha hii rock city broWapi hii baba wawili?
Hahah! Kwema mkuu vp za kupotea?Kijana naona unashuka mistari utadhani unaruka madimbwi ya kidongo chekundu[emoji1][emoji1][emoji1]
Kwema ?
Mungu ni mwema, Nipo vizuri kabisaKwema kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu, vipi wewe Mkuu?
Sawa baba Madame nani sijui 😂😂😂😂😂😂Ha ha ha hii rock city bro
Karbu ankoo,habari za siku??salama huko?
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani sijui inatokea nini [emoji23][emoji23] ukifika home ndio unaanza kujiuliza hivi kweli mimi ndio nimenunua hiki kitu mbona useless
Namshukuru Mungu nipo salamaHahah! Kwema mkuu vp za kupotea?
Mungu anasaidia ankoo,tunashukuru!!Ahsante Ankoo, kwa kweli ni njema kabisa. Vipi pilika pilika ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukweli unauma eeBarca fan gani huyo anaetoa taarifa za uongo, ni lini Cr7 kawahumiliate Barca au jinsi alivyokua anashangilia?
Inapendeza ndugu, tupo tunasukuma gurudumuNamshukuru Mungu nipo salama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tayali umeshamezeshwa sumu naonaSawa baba Madame nani sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]