capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Vizuri .. me pia nafanya vizuri hapa, thou bila wewe ni upweke sana.Everything is well with me......how have you been?
Vizuri .. me pia nafanya vizuri hapa, thou bila wewe ni upweke sana.Everything is well with me......how have you been?
Tufanye umeshindaa mwee mwee hio nafasi ya majiniazNtakupeleka ukiwa wa kwanza shuleni😀😀.
Vizuri .. me pia nafanya vizuri hapa, thou bila wewe ni upweke sana.
🤣🤣🤣🤣Tufanye umeshindaa mwee mwee hio nafasi ya majiniaz
#sijawahikuwawakwanzahatandotoni
Si ana kanisa siku hizi sijui..Anataman kuitawala dunia yote
Ndio au ipoje?Mmh muda wowote?
Huu umaliziaji wako hatari sana, tunatamani tutume maombi zoezi liendelee ata mwezi ukifika
Kweli wewe una vidonda vya tumbo.Ndio au ipoje?
Hahah hakika sintomgusa kabisa
#RamadhanidumuHahah hakika sintomgusa kabisa
Ndio maana ile kwa wanandoa sio dhambi kwaoDuh..mchana unabanjua waifu huku umefunga?
Uwiiii kumbeNdio maana ile kwa wanandoa sio dhambi kwao
Nilisikia hizo tetesi za kanisaSi ana kanisa siku hizi sijui..
Pesa ikizidi watu wanabadilika
Hahah milele amina#Ramadhanidumu