Mazoezi sana huyu mwanamamaKigimbi naona tizi limekubali
ninapomuona genius JUNG JAE IL jinsi anavyopigana piano ananifanya nione ni jambo rahisi sana.
hivi fala kama mimi nisyejua chochote itanichukua muda gani kufikia angalau level za huyu jamaaa?
nimesikia diamondi alienda kufanya show korea, hivi anadhani wakorea wanapenda kuambiwa mikono juu muda wote?