Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Vikenge
Itabidi urudishiwe pesa hahahahaAmemaliza nafasi yote hapo mkuu[emoji23][emoji23]
Kweli mkuu nakubaliana na wwMkuu kifo hakikwepeku,zilikuwa zimefika tu
Maria Nyerere
Hahahaha wanasiasa bhana shida tuSafari ya matumaini inaendelea kivingine ndani ya CCM
Kweli kabsa,wanauandishi wa kawaida sanaYeah nakumbuka na Tamaduni wanawaona hawa jamaa wawili soft sana
Maria Nyerere
Ubigwa upo inategemea na City kam atadrop point mechi muhimu kwao ni keshoSalama mzee wa liver,habari za siku mbili tatu??
Ubingwa upo lakini?
HahahahahaNilidhani ungetumia fursa! Hapo yule Mzee wa Buyenze hasinge muacha.
Kabisa mkuu Luna zengwe wanataka kumuundia binti wa watuKuna watu wanaishi maisha ya kishirikina, kwamba hafi mtu basi amerishwa sumu, amerogwa nk.
Unafiki mtupu
mkuu nilikujibu ile habari,Mkuu niaje mambo vipi
KIBASIRAMIRAMBO
Hahahahaha bado kuna game anfield usihofu nipo napata Konyagi hapa huku nalike naona social media zote Mengi Mengi hasa utata wa kifo chakePowa mzee wa k vant vipi harakati
Pole kwa kipigo cha Messi
Hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wa Buyenze angebanana hapo mpaka kieleweke
Nilikua nakutafuta wewe ujue! Ha hahFamiliar names hahaha nilifanya root nyingi sana kwenda jengo hili Daah [emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Nipo mkuu nikipata nafasi lazima nitie timu Uzi wetu pendwa sana huuSijambo sana Mzee wa Liver .. Tulikukosa kiana humu ndani.
Memories![emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]