mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu niaje habari za jumapili weekend inapamba moto kabisaStar Gard
Mkuu niaje habari za jumapili weekend inapamba moto kabisaStar Gard
hapana mkuu, kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia comment zako humu ndani nimefanikiwa kugundua una mapenzi makubwa sana na ishu hizi za programming ndio maana nimeona leo nikuulize.
maandishi yako ni mtego tosha kwa adui yako kufahamu udhaifu wako labda uwe mjanja sana.
kwa mfano
BAK = anamchukia magufuli na chama chake, ni mpenzi mkubwa sana wa basketball, ni mpenzi wa big booty, anapenda life style za america
moudgulf na myoyambendi = hawatabiriki kama sigara nyota, wanapenda sana utalii wa ndani ndio maana nikasema ni ndugu wawili wasiofahamiana.
numbisa = kila sehemu anaonekana (mtu wa watu), ni ngumu sana kufahamu amespecialize eneo lipi.
Gr8[emoji123][emoji123][emoji123]
Mkuu niaje habari za weekendJe huyu Ningendako yupo kundi gani
Watu wanajifanya kukisahau kifo.Jack Mengi atapona kweli kwenye hili saga
Nipo sawa Mkuu, sijakuona ukitokea jana!Mkuu niaje habari za jumapili weekend inapamba moto kabisa
Mkuu mambo vipiKuna watu walidai uandishi wa aina hii ulikuwa simple sana,unaona baada ya watu kumzoea hana jipya tena
Ni kama vile Roma,kipind kile walidai uandishi wake ni kama ngonjera vile afadhal siku hz anajitahidi
Village elder niaje mazee[emoji3][emoji3] Stamina
Hivi ni leoUchaguzi wa Yanga unaendelea
nitaichukua kama assignment kwa sasaJe huyu Ningendako yupo kundi gani
Kuna watu walidai uandishi wa aina hii ulikuwa simple sana,unaona baada ya watu kumzoea hana jipya tena
Ni kama vile Roma,kipind kile walidai uandishi wake ni kama ngonjera vile afadhal siku hz anajitahidi
Safari ya matumaini ilifia wapi sijuiMwanasiasa wetuView attachment 1088915
Maisha ni komborela butua uokoe wenzakoMaisha ni komborela maskini ndio mlinda kopo
Mkuu niaje game ya Jana ilikuwa ngumu sana
TehetehetehePesa imekua hadimu kama bikra kwa changudoa
Amemaliza nafasi yote hapo mkuu[emoji23][emoji23]Hahaahaah una kaa hapo hapo
Mkuu kifo hakikwepeku,zilikuwa zimefika tuKuoa vibinti vidogo kuna madhara yake hata kama mzee amekufa kifo cha kawaida 75+ uwezi kwepa kifo ukipata kaugonjwa kadogo tu safari