Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Itabidi tutume maombi kwa Mods waweke option ya thanks dublicater kwaajili yako ili ukipost kama hivi basi thanks ziwe nyingi nyingi kwenye post moja

SYB aliaga humu kwamba anaenda kwenye majukumu huko nyanda za juu kusini hivyo atarudi tarehe 30
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana hufai kwa visasi
 
Screenshot_2019-05-05 Absolute Sample_2 pdf(12).png
 
The diagram below shows a four octave span revealingfive C’seach of which are eight notes apart -hence octave-as in octagon -eight !

Screenshot_2019-05-05 Absolute Sample_2 pdf(16).png

Somo limeanza kama huelewi unauliza!

If you look closely you will see that the black keysare in groups of two then three. This enables us to find every single note easily. And the first one that you must learn is ‘C’which can be found just to the left of two black keys.
 
Unataka kunipa kazi Bro? Fanya mambo tutengeneze pesa.
hapana mkuu, kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia comment zako humu ndani nimefanikiwa kugundua una mapenzi makubwa sana na ishu hizi za programming ndio maana nimeona leo nikuulize.

maandishi yako ni mtego tosha kwa adui yako kufahamu udhaifu wako labda uwe mjanja sana.

kwa mfano
BAK = anamchukia magufuli na chama chake, ni mpenzi mkubwa sana wa basketball, ni mpenzi wa big booty, anapenda life style za america
moudgulf na myoyambendi = hawatabiriki kama sigara nyota, wanapenda sana utalii wa ndani ndio maana nikasema ni ndugu wawili wasiofahamiana.
numbisa = kila sehemu anaonekana (mtu wa watu), ni ngumu sana kufahamu amespecialize eneo lipi.
 
damushin = mpira, korean. mfuasi wa buddha 😛 😛 😛
Okay nimekuelewa Bro,

Coder ni mtu ana andika codes. Programmer na Coder ni kitu kimoja. Ila Coder na Developer ni watu wawili tofauti kwa mataifa yalio endelea, Kibongobongo ni sawa tu. Bongo wengi ni Developers.

I write codes!!
 
As already stated, some keyboards / pianos have more keys than others, but this makes no difference in relation to understanding how to play them,as they all have the same basic arrangement of black and white keys.If you look closely you will see that the black keysare in groups of two then three. This enables us to find every single note easily. And the first one that you must learn is ‘C’which can be found just to the left of two black keys.

The diagram below shows a four octave span revealingfive C’seach of which are eight notes apart -hence octave-as in octagon -eight!Probably the most important note on the keyboard is middle Cwhich is the ‘C’that is more or less in the middle of the keyboard and because it is so important, we are going to put a star on ours as shown.Now all the notes to the left of middle Cget gradually lower in pitch and all the notes to the right gradually get higher.

And usually you will use your right hand for the higher notes and your left hand for the lower notes. So which hand plays middleC?That’s a good question and the answer is that it could be either, but I will explain more shortly.Now I’ll show you what all the other notes are called, but I don’t want you to get too confused about all this at the moment. We will be taking it all slowly step by steps.
Screenshot_2019-05-05 Absolute Sample_2 pdf(16).png
 
Back
Top Bottom